The House of Favourite Newspapers

Liverpool Yabananishwa na Stock City, Mo Salah Hoi

KLABU ya soka ya Liverpool ya Uingereza wakiwa nyumbani wameshindwa kufurukuta mbele ya Stock City baada ya kutoa sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu nchini humo (EPL) uliomalizika jioni hii katika Uwanja wa Anfield.

Katika mechi hiyo, Liverpool walihitaji ushindi ili kuifikia Manchester iliyopo nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi hiyo huku ikiwa na pointi 74 nyuma ya mabingwa wapya, Man City wenye pointi 90.

Mchezaji kinara wa Liverpool ambaye amekuwa akisifika kutupia mabao takribani kila mechi amekosa nafasi za wazi kufunga mabao.

Liverpool wanatabiliwa kutinga fainali ya Kombe la Mabingwa Barani Ulaya huku wakisubilia mechi ya maudiano ya robo fainali baada ya kuinyuka AS Roma bao 5-2 mwanzoni mwa wiki hii huku Salah akitupia mbili na kutoa assists mbili.

Wakali hao wanabakia nafasi ya pili katika msimamo wa EPL wakiwa na pointi 72 nyuma ya Man U wenye pointi 74.

Kesho Jumapili mchezo mkali unatarajiwa kupigwa kati ya Man U na Arsenal katika Uwanja wa old Trafford.

Liverpool (4-3-3): Karius 6; Gomez 6.5 (Clyne 65 6), van Dijk 7, Klavan 6, Moreno 6; Alexander-Arnold 7 (Milner 65 6.5), Henderson (c) 6.5, Wijnaldum 7; Salah 6.5, Firmino 6

Substitutes not used: Mignolet (Gk), Lovren, Robertson, Solanke, Woodburn

Manager: Jurgen Klopp

Booked: Van Dijk

Stoke City (4-4-2): Butland 5.5; Zouma 6.5, Shawcross (c) 6.5, Martins Indi 6 (Sobhi 52 5), Pieters 7.5; Shaqiri 6.5, Allen 6.5, Ndiaye 6, Bauer 7; Crouch 6 (Fletcher 65 6), Diouf 5.5

Substitutes not used: Haugaard (Gk), Ireland, Adam, Cameron, Campbell

Manager: Paul Lambert

Booked: Crouch, Diouf

Referee: Andre Marriner 6.5.

Pos Team P W D L GD Pts
1 Manchester City 34 29 3 2 73 90
2 Manchester United 34 23 5 6 39 74
3 Liverpool 36 20 12 4 43 72
4 Tottenham Hotspur 34 20 8 6 35 68
5 Chelsea 34 19 6 9 25 63
6 Arsenal 34 17 6 11 20 57
7 Burnley 36 14 12 10 3 54
8 Everton 36 13 9 14 -13 48
9 Leicester City 35 11 11 13 0 44
10 Newcastle United 35 11 8 16 -9 41
11 Crystal Palace 36 9 11 16 -16 38
12 Bournemouth 36 9 11 16 -18 38
13 Watford 35 10 8 17 -18 38
14 Brighton and Hove Albion 35 8 13 14 -15 37
15 West Ham United 34 8 11 15 -21 35
16 Huddersfield Town 35 9 8 18 -28 35
17 Swansea City 34 8 9 17 -24 33
18 Southampton 35 6 14 15 -19 32
19 Stoke City 36 6 12 18 -33 30
20 West Bromwich Albion 36 5 13 18 -24 28

 

Comments are closed.