The House of Favourite Newspapers

Liverpool Wapigwa na Wolves bao 2-1, Watupwa Nje FA

Lovren akiongea na Kocha Jurgen Klopp (katikati) baada ya kutolewa nje dakika ya tatu kipindi cha kwanza.
Jimenez (kushoto) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 30 kipindi cha kwanza.
Mtifuano wakati wa mechi.
Mchezaji wa Liverpool, Divock Origi (kulia  namba 27) akishangilia baada ya kushinda bao dakika ya 51.
Raul Jimenez (katikati) akifunga 0bao la ushindi kwa timu yake ya Wolverhampton Wanderers dakika ya 55.

TIMU ya Liverpool imepigwa mabao 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika michuano ya Kombe la FA usiku wa kuamkia leo.  Mabao ya Wolves yamefugwa na Raul Jimenez dakika ya 38 kipindi cha kwanza na  dakika ya 55 kipindi cha pili. Bao la Liverpool limefungwa na Divock Origi.

Wolves 3-4-1-2; Ruddy 7; Bennett 7, Coady 7, Boly 7; Jonny 7 (Doherty 75′ 6), Neves 8, Dendoncker 7, Vinagre 7; Moutinho 7; Jimenez 7.5 (Costa 83′), Jota 7.5 (Cavaliero 52′ 6)

Akiba ambao hawakucheza: Norris, Gibbs-White, Saiss, Adama

Meneja: Nuno Espirito Santo 8

Liverpool 4-3-3; Mignolet 6; Camacho 6, Lovren 2 (Hoever 6′ 7), Fabinho 6, Moreno 6; Milner 6, Keita 6, Jones 6.5 (Firmino 70′ 6); Shaqiri 6.5, Origi 6.5, Sturridge 4 (Salah 70′ 6)

Walioonywa: Milner

Akiba ambao hawakucheza: Kelleher, Mane, Christie-Davies, Alexander-Arnold

Kocha: Jurgen Klopp 6.5

Msimamizi: Neves

Mwamuzi: Paul Tierney 7

Mashabiki: 25,849

Comments are closed.