The House of Favourite Newspapers

Lowassa Afunguka Kilichompeleka Kwa JPM Ikulu

Rais John Pombe Magufuli akiwa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa wakipeana mkono baada ya mazungumzo Ikulu. 

Mnano Januari 9, 2018 nilipokea mwaliko kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiomba kwenda kukutana nae Ikulu siku hiyohiyo kwa ajili ya mazungumzo.

Comments are closed.