The House of Favourite Newspapers

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Yatangaza mwisho wa Kimbunga Hidaya

0

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)  Mei 4, 2024 imetangaza mwisho wa Kimbunga Hidaya baada ya vipimo kuonesha kuwa kimbunga hicho kimepoteza kabisa nguvu yake baada ya kuingia nchi kavu kupitia kisiwa cha Mafia.

USHAURI: Wananchi wanashauriwa kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania pamoja na maelekezo na miongozo inayotolewa na mamlaka husika.

Leave A Reply