The House of Favourite Newspapers

Lowassa, Sefue Walivyowasili Msibani kwa Kikwete – (Pichaz + Video)

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Katibu Mkuu Kiongozi Msfaatu, Balozi Ombeni Sefue wamewasili nyumbani wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, kuungana na wanafamilia na waombolezaji wengine katika msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu aliyefariki dunia jana Alhamisi.

Viongozi wengine waliyowasili msibani hapo ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happi, Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia na wengine.

Mwili wa marehemu Mzee Mkwachu unatarajiwa kuzikwa baadaye leo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Lowassa, Sefue Walivyowasili Msibani kwa Kikwete

Comments are closed.