The House of Favourite Newspapers

LYNN Azungumzia Wimbo wa GERE, TANASHA ft Diamond – Video

0

MUUZA nyago maarufu Bongo, Irene Godfrey maarufu kama Lyyn amezungumza kuhusu kutajwa katika mitandao ya kijamii kuwa katika nyimbo ya Tanasha aliyomshirikisha Diamond ameimbwa yeye na kuweka wazi namna alivyo furahia wakati wake akiwa na Diamond na kwamba ashakula chakula hicho hivyo hawezi kuwa na gere.

Leave A Reply