The House of Favourite Newspapers

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Yafana Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva akiungumza kwenye maadhimisho hayo

 

 

Wanawake waliohudhuria maadhimisho hayo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani, yamefanyika kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wanawake ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva  aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Akizungumza katika maadhimisho hayo, mkuu huyo wa wilaya amewaomba wanawake kufanya kazi kwa bidii na kuondokana na dhana potofu kuwa wanawake ni dhaifu. Akawashauri kuunda vikundi vya ujasiriamali ili kujikomboa kiuchumi.

Wanawake mbalimbali walipata fursa ya kuonesha bidhaa mbalimbali wanazozalisha, nyingi zikiwa ni kazi za mikono yao.

Comments are closed.