The House of Favourite Newspapers

Maajabu: Gari Latumbukia Kwenye Nyumba Ya Mtu -Video

0

KATIKA hali ya kushangaza, Gari moja la kusambaza mafuta limepata ajali na kutumbukia kwenye nyumba ya mama mmoja huko maeneo ya Kilomeni Sofe mkoa wa Kilimanjaro, na kusababisha taharuki kwa wakazi wa nyumba hiyo.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply