The House of Favourite Newspapers

Maalim Seif Akamatwa Akiwa Kituo cha Kupigia Kura

0

TAARIFA iliyotolewa na chama cha ACT-Wazalendo, inasema mgombea urais wa chama hicho Zanzibar, Maalim Seif Hamad Sharif, amekamatwa na vyombo vya dola wakati akiwa katika kituo cha kupigia kura cha Garagara.

Leave A Reply