The House of Favourite Newspapers

Maandalizi Ya Tigo Fiesta 2017, Viwanja Vya Leaders Club Yalivyokuwa

0
Ujenzi wa Jukwaa la burudani likiwa linatengenezwa kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar.
 Wasanii wakijadiliana jambo.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akimsikiliza  msanii wa Bongo Fleva, Jux.
Ruge Mutahaba akielekeza  jambo.
Mafundi wakiendelea na kazi yao.
Muonekano wa jukwaa la burudani kwa mbali litakalotumika usiku wa leo.
Wasanii wakiendelea na mazoezi.

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alisema kwamba shoo ya leo itakuwa na utofauti mkubwa dhidi ya zile zilizopita kwani wasanii wamejiandaa vizuri kutoa shoo baab’kubwa pia kutakuwa na sapraiz ambayo anaamini itawafurahisha mashabiki watakaojitokeza Leaders.

Ruge alisema licha ya kuwa shoo ya aina yake pia wasanii kabla ya kuanza kufanya makamuzi yao watapata fursa ya kutambulishwa kila mmoja kwa mashabiki kwa mtindo wa kupita jukwaani kisha kwenda kukaa nyuma ya jukwaa kusubiria muda wake wa kukamua.

Leave A Reply