The House of Favourite Newspapers

Mafundi Wabobevu wa Computers na Simu

0

Pale unapoona haiwezekani kwa Laptop, Desktop au Simu yako kupatiwa suluhisho la Changamoto inayoikumba, ndipo Jopo la Wataalaam hapa @cataux_computers, wanachukua nafasi ya kuhakikisha linapatiwa ufumbuzi. Sambamba na hilo lazima utapewa Elimu zaidi ya jinsi gani utatunza kifaa chako ili usiingie tena gharama za kufanya Matengenezo tena!

Miongoni mwa Changamoto hizo Ni pamoja na;
☑️Kompyuta kuzima ghafla,haiwaki.
☑️Laptop, Desktop,Tablet au Simu kushindwa kuchaji.
☑️Laptop, Desktop, Simu, Tablet kushindwa kuonyesha kwenye Kioo.
☑️Laptop, Desktop kuwa nzito Sana na wakati mwingine kuganda kabisa.
☑️Laptop, Desktop, Tablet na Simu kushambuliwa na Virusi.
☑️ Laptop, Desktop kuharibika Bios.
☑️ Laptop, Desktop, Tablet au Simu kuvunjika kioo.
☑️Kuwa na kiwango kidogo cha Ram, HDD.
☑️Laptop,Desktop kuharibika Window.
☑️Simu kuwaka na kuishia kwenye Logo.
☑️Simu kushindwa kusoma “line” kuharibika kwa “slot”ya line ya Simu.
☑️Laptop kuharibika keyboard, mouse, betri.
☑️ Laptop, Desktop, Tablet na Simu kuharibika Motherboard.
☑️Laptop, Desktop, Tablet na Simu kushindwa kusoma Internet.
☑️ Changamoto zote za SOFTWARE na HARDWARE zinazoikumba Laptop,Desktop, Tablet na Simu zinatatuliwa kwa Ufasaha Sana.

🌍Tupo Dar, Mwenge Stand ya zamani
.
Tupigie/Tuma SMS/WhatsApp kwenye:
0682 566 622
0675 110 358
Karibuni Sana.

Leave A Reply