The House of Favourite Newspapers

Mafunzo ya Ujasiriamali Buchosa Yazidi Kuwainua Wananchi

0

MAFUNZO ya ujasiriamali yanaendelea Jimbo la Buchosa ambapo ambapo hii ilikuwa zamu ya wananchi wa Kata ya Nyakasungwa ambao wamejifunza kutengeneza unga bora wa lishe, sabuni za miche, sabuni ya kusafishia chooni, sabuni ya kunawia mikono na utengenezaji wa batiki na bidhaa nyingine nyingikwa njia ya vitendo.

Wananchi wa wakifurahi baada ya kumalizika kwa mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa bure Jimbo zima na Mbunge wa Jimbo hilo Eric Shigongo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mjasiriamali Kwanza chini ya Mwalimu mahiri, Dkt. Didas Lunyungu.

Wananchi hao wamemshukuru Shigongo na kumuombea kwa Mungu aendelee kuwa na moyo wa kusaidia wananchi wa Jimbo hilo kujiinua kiuchumi na kujiletea maendeleo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply