The House of Favourite Newspapers

Magari ya Vigogo Wawili Yadaiwa Kugongana Mbeya

ajali-mbeya-1

Ajali iliyotokea eneo la CCM, Mbeya.ajali-mbeya-2 ajali-mbeya-3 ajali-mbeya-4

Vigogo hao wakifanya majadiliano baada ya ajali hiyo.ajali-mbeya-5

ajali-mbeya-6

Hali halisi ya magari hayo baada ya kugongana.

MBEYA: MAPEMA leo asubuhi, kumetokea ajali ya jijini Mbeya baada magari mawili kugongana eneo la CCM, na kusababisha taharuki kwa zaidi ya dakika 10 miongoni mwa waatumiaji wa waliofika eneo la tukio.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, inadaiwa kuwa magari hayo ni Land Cruiser la kigogo mmoja wa dini na jingine ambalo ni gari dogo (Ta) la kigogo wa polisi mkoani humo.

imedaiwa kuwa, kigogo huyo wa polisi alikuwa alisimamisha gari lake ili kupisha watembea kwa miguu wavuke barabara ambapo kigogo wa dini aliyekuwa kwenye mwendo wa kasi zaidi alikuja na kuligonga gari dogo jeupe la kigogo huyo wa polisi kwa upande wa nyuma na kusababisha ajali hiyo hali iliyozua taharuki eneo la tukio.

Comments are closed.