The House of Favourite Newspapers

Kidoa: Nanzaje kuuza mashoga?

kidoa-3Na Andrew Carlos, Gazeti la Ijumaa Toleo la Jan 13, 2017

VIDEO Queen ambaye pia ni mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kuwauza vijana mashoga kwa wanaume huku mwenyewe akikanusha, Ijumaa limetonywa. Madai ya Kidoa kufanya dili hilo haramu yaliibuliwa hivi karibuni baada ya kuwauza vijana mashoga kwa wanaume huku mwenyewe Madai ya Kidoa kufanya modo huyo kuonekana maeneo tofauti ya starehe akiwa na wanaume hao tata na ndipo ikadaiwa kuwa, yeye ndiye anawakuwadia.

“Siku hizi Kidoa ana marafi ki wengi mashoga na wanaume wakiwataka humtumia yeye kuwaunganisha, ni dili analolifanya kwa siri sana,” kilidai chanzo hicho.

kidoa-2Kufuatia madai hayo, Ijumaa lilimpigia simu Kidoa na kumuomba namba ya simu ya shoga mmoja (jina tunalihifadhi), akaitoa bila shida. Alipopigiwa kijana huyo na kuchomekewa mambo ya mapenzi alimtaka mwandishi wetu amtafute siku iliyofuata ili wapange jinsi ya kumuomba namba ya simu ya shoga mmoja (jina tunalihifadhi), akaitoa bila huyo na kuchomekewa alimtaka mwandishi

kukutana. Hata hivyo, kesho yake simu ya kijana huyo haikuwa hewani. Akizungumzia madai ya kwamba yeye anauza baadhi ya marafi ki zake mashoga kwa wanaume, Kidoa alisema: “Jamani hao ni marafi ki zangu tu, naanzaje kuwauza kwa mfano? Ipotezee bwana.”

Comments are closed.