The House of Favourite Newspapers

Maiti 7 za Mto Ruvu, Baba Aibuaka Adai ni za Watoto Wake

Kutoka Rufiji mkoani Pwani, Ikiwa ni takribani miezi miwili imepita baada ya zile maiti saba zilizokutwa zikielea mto Ruvu wilaya ya Bagamoyo, mkazi wa kijij cha Mloka wilaya ya rufiji, ALLY KITIMAI ameibuka na kudai kuwa, wanaye watano, walipigwa risasi mwishoni mwa mwaka jana, na watu waliokuwa na bunduki kisha kuondoka na miili hiyo, hivyo kutia shaka kuwa, huenda zile maiti zilizookotwa Mto Ruvu ni miongoni mwa mwa marehemu hao.

Comments are closed.