The House of Favourite Newspapers

SAMIA AMWAKILISHA JPM MKUTANO WA SADC NAMIBIA

Makamu wa Rais, Samia Hassan (kulia) akiwa na viongozi wa Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jana Safari Hotel jijini Windhoek, Namibia, kuhusu  Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC.

Viongozi waliokuwa meza kuu ya mkutano huo.

Samia akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Congo (DRC),  Joseph Kabila,  kabla ya kuanza kwa mkutano wa SADC.

Katibu Mkuu Mtendaji wa SADC, Stergomena Tax (kushoto) akizungumza na wanahabari.

Samia akisalimiana na Rais wa Zambia, Edgar Lungu.

Comments are closed.