The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais Azindua Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Jumanne, Aprili 10, amezindua chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine), kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

Kinga hiyo itakuwa ni kwa wasichana kuanzia umri wa miaka 14 ambapo amesema itatolewa bila malipo na kwa mwaka huu itatolewa kwa wasichana 616,734.

VIDEO; FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.