The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais na Mkewe Washiriki Ibada ya Pasaka Katika Kanisa Katoliki Maria Theresa

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na mke wake, wakiwa katika ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.

Leo Aprili 17, 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na mke wake, wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma iliyoongozwa na Padri Gilbert Magidale

Leave A Reply