The House of Favourite Newspapers

Makundi ya Europa League Haya Hapa, Samatta Awakwepa Man U

0

CqyHu9sWAAA5eyz.jpg large

Makundi ya Klabu ambazo zitacheza Europa League ikiwemo timu anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta, KRC Genk ya Ubelgiji yamepangwa huku matarajio ya Watanzania wengi ilikuwa ni kumuona pengine Genk ya Samatta wakipangwa kundi moja na Manchester United wanayoichezea Zlatan Ibrahmovic na Paul Pogba.

Genk na Man U wamekwepana kwa Man U kupangwa Kundi A huku Genk wakiwa wamepangwa Kundi F. Endapo akina Samatta watafuzu kwenye kundi lao pia Man U nayo ikafuzu huenda wakakutana hatua yeyote ya mbele ya mashindano hayo, hivyo Watanzania watamuona Samatta akimenyana na akina Pogba na Zlatan.

Leave A Reply