The House of Favourite Newspapers

Malaika: Sina Wivu na Zuchu

0
Diana Exavery ‘Malaika’

MWANA-MUZIKIkutoka Bongo Flevani aliyetamba na ngoma kama Zogo, Sare na nyingine, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema hana wivu wala kinyongo kwa wanamuziki wenziye wa kike wanaotamba kwa sasa kama Zuchu.Amesema kila mtu ana kipaji chake na ni vizuri kukubali kitu anachofanya mwenzako.

 

Malaika ameiambia OVER ZE WEEKEND kuwa, pamoja na kwamba hajaachia ngoma mpya kwa muda mrefu, lakini siyo sababu ya yeye kutozikubali ngoma za wenzake.

“Sina wivu wala kinyongo kwa wanamuziki wenzangu wa kike kama Zuchu kwa sababu wamethubutu mno na kwa sasa wanafanya vizuri sana. Mimi ni shabiki wao namba moja kwa sababu kila jambo na wakati wake,” amesema Malaika.

 NANDY- Hatuwezi Kumfanyia DIAMOND Sherehe l Ndoa MWAKANI l Harmonize Kuwa MBUNGE….

Leave A Reply