The House of Favourite Newspapers

MALINZI, MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE

0
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Jamal Malinzi (wa pili kulia) akifuatiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa shirikisho hilo, Selestine Mwesigwa, wakirudishwa rumande baada kesi yao kutajwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar jana na kuahirishwa mpaka Novemba 30 mwaka huu.

 

( PICHA NA RICHARD BUKOS )

Leave A Reply