The House of Favourite Newspapers

MALKIA WA NGUVU: FARAJA KOTA Anyakulia TUZO ya MHAMASISHAJI 2019

KATIKA hafla ya kilele cha Tuzo za Malkia wa Nguvu zilizoandaliwa na Clouds Media na kufanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere, wanawake mbalimbali watapokea tuzo kulingana na vitengo vilivyoandaliwa ambapo mapema katika tuzo hizo.

 

Tuzo hizo zinazofanyika leo Jumamosi, Aprili 6, 2019, aliyekuwa Miss Tanzania 2004, Faraja Nyalandu Kota ameshinda tuzo ya mwanamke ambaye ni mhamasishaji.

TAZAMA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.