The House of Favourite Newspapers

LIVE: MAKONDA, KUSAGA, SHIGONGO Katika Kilele cha MALKIA wa Nguvu

NI hafla ya kilele cha Tuzo za Malkia wa Nguvu ambazo zinaendelea katika Ukumbi wa Julius Nyerere, wanawake mbalimbali watapokea tuzo kulingana na vitengo vilivyoandaliwa ambapo mapema katika tuzo hizo.

 

Aliyekuwa miss Tanzania 2004, Faraja Nyalandu Kota ameshinda tuzo ya mwanamke ambaye ni mhamasishaji.

 

Katika hafla hiyo, watu kibao wamehudhuria wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, Mjasiriamali, Mhamasishaji na Mmiliki wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amehudhuria katika kilele hicho.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HAPA

Comments are closed.