The House of Favourite Newspapers

Mama Ntilie, Mama wa Nyumbani Mmeisoma hii? – Video

KUFUATIA malalamiko ya baadhi wananchi wa maeneo  mbalimbali nchini wakidai kukumbwa na magonjwa ya tumbo na kuhara,  wengine wakiapa kabisa kutokula kwa mama ntilie wakisema kuwa wafanyabiashara hao wamekuWa wakitumia maji yasiyo safi kuoshea vyombo wanavyowapakulia wateja wao vyakula, sasa mambo mapya yameibuka.

ALL PURPOSE products.

Baada ya kuona ukubwa wa tatizo hilo, Global TV imeamua kuingia chimbo na kuwasaka mama lishe hao, ambao wengi wao wameanika ukweli kuwa tatizo si maji bali ni sabuni wanazotumia.  Zipo zingine ambazo hazina ubora unaokidhi, hivyo wakati wa kuosha vyombo zinaacha shombo na harufu ya sabuni badala ya kusafisha chombo husika, jambo ambalo husababisha madhara katika afya za watumiaji wa chakula hicho.

Glass Cleaner.

Baada ya kubaini tatizo hilo kuwa limekuwa likiongezeka kwa kasi, Global TV ikazama chimbo kwa mara nyingine kutafuta suluhisho la tatizo hilo ambapo ilifanikiwa kuwapata Emina Products ambao ni wazalishaji na wauzaji wa bidhaa za kuoshea vyombo ili kuhakikisha usalama wa afya yako wakati wowote.

Hand Wash.

Mbali na sabuni za kuoshea, Emina pia wana sabuni za kufulia, kuoshea vioo, kudekia, na kusafishia vigae na mengine kibao. Unaweza kutumia majumbani, maofisini na sehemu za biashara.

Pure Line.

Tulipopata suluhisho tukawapelekea wananchi na kuzungumza na baadhi ya mama ntilie na kuwaelewesha kwamba Emina Products ndilo suluhisho pekee la shombo kwenye kazi zao za kuuza vyakula.

Tile and ceramic cleaner.

Emina products ni wazalishaji wa Bidhaa za ALL PURPOSE CLEANER LIQUEID, EMINA HANDWASH LIQUID (ambazo ndani yake zina mchanganyiko wa Aloe Vera, strawberry, orange, fruiy) EMINA PUREPINE DISINFECTANT LIQUID, EMINA ACIDIC TILE CLEANER LIQUID, EMINA BLEACH, EMINA WINDOW CLEANER LIQUID, EMINA DISH WASHING LIQUID & EMINA SEPTOL ANTISEPTIC & ANTIBACTERIAL.

Unaambiwa Emina wanapatikana nchi nzima kwenye supermarket zote, maduka ya jumla na rejareja,  pia unaweza kuwasiliana nao kwa namba hizi: 0745215253 au 0688618139 au 0713 985562.

Dish washing.

Emina Products wanakwambia usafi ni afya.

Regular Bleach.

 

Tazama video hii ujifunze zaidi

Comments are closed.