The House of Favourite Newspapers

Zigo la Disemba Shinda na Shinda Tena, Pikipiki 5 Kushindaniwa, Tecno Camon 19 na Spark 9 Kutolewa Kila Wiki

0

JE UNAUONAJE msimu wa sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa kuumaliza Mwaka 2022 ukiwa salama, basi ukiwa unatafakari naomba nikusogezee habari nyeti kutoka Kampuni ya simu TECNO. TECNO imekujia na Zigo la Disemba ndani ya Mwezi huu wote ukinunua simu zao unajishindia Pikipiki na zawadi nyengine kibao.

Kampuni ya simu TECNO ilizindua rasmi promosheni ya Zigo la Disemba tarehe moja ya mwezi huu hadi sasa wateja wa TECNO wameweza kujishindia TECNO Camon 19 na Spark 9 katika week ya kwanza ya promosheni hii lakini pia wameingia katika droo kubwa la Mwisho wa Mwezi la kushindania Pikipiki.

Wateja ambao wanapata nafasi yakujishindia zawadi hizi ni wale wanaonunua TECNO Camon 19 au Spark 9 ndani ya kipindi hiki cha promosheni ya Zigo la Disemba, vile vile zawadi nyengine kama earphone, Mabegi na Miamvuli yenye nembo ya TECNO hutolewa papo hapo.

Nunua TECNO Camon 19 au Spark 9 ufurahie uwezo mkubwa wa camera ya MP64, battery ya mAh5000 na kioo kipana chenye kuchukua matukio mahiri ya picha na video katika msimu huu wa sikukuu.

Tembelea maduka yote ya simu yenye promosheni Dar es Salaam na Mikoani ili kujishindia zawadi tajwa. Au wasiliana nao kupitia 0744545254, 0678035208 au tembelea @tecnomobiletz twitter, @tecnomobile facebook au @tecnomobiletanzania IG.

Leave A Reply