The House of Favourite Newspapers

Mamia Wauaga Mwili wa Bondia Mashali Leaders Club

mashali-kuagwa-13 mashali-kuagwa-12 mashali-kuagwa-11 mashali-kuagwa-10 mashali-kuagwa-9 mashali-kuagwa-8 mashali-kuagwa-7 mashali-kuagwa-6 mashali-kuagwa-5 mashali-kuagwa-4 mashali-kuagwa-3 mashali-kuagwa-2 mashali-kuagwa-1

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo mabondia wenzake wamejitokeza kuuaga mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’ katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam hivi punde.

Baada ya kuagwa, mwili wa Mashali aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kushambuliwa kwa silaha mbalimbali za jadi na watu wasiofahamika eneo la Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam utapelekwa kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.

Picha zote na Boniphace Ngumije / GPL

Comments are closed.