Kartra

Man City Gari Laanza Kuwaka

GARI la mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, Manchester City jana lilianza kuwaka baada baada ya kuichapa Norwich City 5-0.

Mabao ya Man City yaliwekwa kambani na Tim Krul aliyejifunga dakika ya saba, Jack Grealish dakika ya 22, Aymeric Laporte dakika ya 64, Raheem Sterling dakika ya 71 na Riyad Mahrez dakika ya 84 katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja Etihad jijini Manchester.


Toa comment