The House of Favourite Newspapers

MANARA Ajibu Swali Nani Aliyepiga Penalti Okwi au Kaseja? – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Mabingwa Haji Manara amesema kuwa video ambayo ilikua inaendelea kusambaa mtandaoni baada ya Mshambuliaji wao Mganda Emmanuel Okwi kukosa penalti kwenye mchezo wa Simba SC VS Kagera Sugar iliyodakwa na kipa Juma Kaseja na Manara Kuanza kujiuliza.

 

Manara baada ya kutowaambia Watanzania nini kilitokea anasema kuwa ni moja ya hali tu ya mpira na ile video ni kweli huku akimpiga kijembe Mkwasa.

Comments are closed.