The House of Favourite Newspapers

Manchester United Hoi UEFA, Yapigwa Tena 4-3 dhidi ya Copenhagen

0

Manchester United iliyokuwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Marcus Rashford kuoneshwa kadi nyekundu imekubali kichapo cha 4-3 dhidi ya wenyeji FC Copenhagen katika dimba la Parken, Copenhagen.

FT: FC Copenhagen 🇩🇰 4-3 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man United
⚽ Elyounoussi 45′
⚽ Goncalves 45+9′
⚽ Lerager 83′
⚽⚽ Højlund 2′ 27′
⚽ Bruno (P) 69′
🟥 Rashford 42′

Manchester United wanakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora wakiwa mkiani mwa kundi A alama 3 kwenye mechi 4.

1. 🇩🇪 Bayern (12)
2. 🇩🇰 FC Copenhagen (4)
3. 🇹🇷 Galatasaray (4)
4. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man United (3)

Man United inahitaji kushinda mechi mbili za mwisho ugenini dhidi ya Galatasaray na nyumbani dhidi ya kinara Bayern Munich.

 

Leave A Reply