The House of Favourite Newspapers

Manchester United watinga fainali FA

0

337A500A00000578-0-Louis_van_Gaal_and_Anthony_Martial_are_joined_together_on_the_pi-a-5_1461446503656Louis van Gaal na Martial wakifurahi baada ya ushindi kwenye kombe la  FA uwanja wa Wembley

337A506700000578-0-Wayne_Rooney_celebrates_after_the_final_whistle_as_he_keeps_aliv-a-8_1461446508865Wayne Rooney akishangilia baada ya mpira kumalizika

337B60EE00000578-3555628-image-a-17_1461454482961Anthony Martial akishangilia gori lake liliipeleka manchester united finali

337B60FA00000578-3555628-image-a-19_1461454537022Timothy Fosu -Mensah, Daley Blind, Antonio Valencia, Marcos Rojo, Chris Smalling and Martial wakishangilia baada ya kuingia fainali kombe la FA

3378DE0500000578-0-Louis_van_Gaal_leads_the_celebrations_on_the_Manchester_United_b-m-4_1461446475117

3379338C00000578-0-David_De_Gea_dives_low_to_his_right_hand_side_to_save_Romelu_Luk-a-14_1461447216826David de Gea akiruka upande wa kulia kuiokoa penati iliyopigwa na Romelu Lukaku

3378974200000578-0-Marcus_Rashford_shoots_towards_goal_while_Everton_defender_John_-a-11_1461446616562

 felainMarouane Fellain akishangilia gori la kwanza katika mchezo wa nusu fainali kati ya Everton na Manchester United

Everton-v-Manchester-UnitedkDavid de Gea akishangilia gori lililofungwa na Anthony Martial dakika za majeruhi

337A3E2200000578-3555474-image-m-82_1461435226699wachezaji wa Everton wakiuzunika baada ya kuondolea kwenye kombe la FA

Bao la lala salama la Antony Martial limeipa rekodi Manchester United kucheza fainali ya 19 ya FA Cup kufuatia ushindi wa Everton kwenye uwanja wa Wembley.

Martial alikihakikishia ushindi kikosi cha Louis van Gaal ambacho sasa kitakutana na Crystal Palace au Watford kwenye mchezo wa fainali.

Marouane Fellaini aliifungia United bao la kuiongoza kwa shuti la karibu lakini shukrani za United zinakwenda kwa David de Gea aliyeokoa penati ya Romelu Lukaku dakika ya 57.

Everton walipata bao lao la kusawazisha zikiwa zimesalia dakika 15 mchezo kumalizika ambapo Chris Smalling alijifunga wakati akijaribu kuokoa mpira wa krosi ya Gerard Deulofeu.

Wakati mchezo ukionekana utakwenda kwenye dakika za nyongeza, Ander Herrera alipiga pasi iliyomkuta Martial ambaye aliupachika mpira kambani huku golikipa wa Evertton Joel Robles asijue cha kufanya.

Leave A Reply