The House of Favourite Newspapers

Mandonga Apigwa Kwa TKO Dhidi Ya Bondia Moses Golola Kutoka Uganda – Picha

0

WIKI moja tu baada ya kulambishwa sakafu Nchini Kenya, bondia maarufu wa Tanzania Karim ‘Mtu Kazi’ Mandonga, amepokea kipigo kingine kwa TKO katika raundi ya pili dhidi ya Bondia Moses Golola kutoka Uganda.

Baada ya pambano Mandonga alifarijiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla ambaye alimwambia ‘hata hivyo Mandonga mtu kazi wewe ukipigwa ni kama umepiga na kama ukipiga ni kama umepigwa.”

TWAHA KIDUKU ACHEZEA KICHAPO KUTOKA kwa MSOUTH WELLEM-MWENYEWE AKIRI “SIJATAMBA AMENIZIDI,I M SORRY

Leave A Reply