MARAIS wa nchi 11 wamehudhuria mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unaofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Agosti 17, 2019 na kesho.
Walioshiriki Mkutano huo ni pamoja na;
1. Wakuu wa nchi (Marais) 11
2. Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi 5
3. Rais na Makamu wa Rais wa Zanzibar
4. Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ambao wamewakilisha nchi zao
5. Wamo Marais wastaafu wa Tanzania na Zanzibar
6. Wamo Mawaziri Wakuu Wastaafu
7. Mawaziri wa SADC
8. Ujumbe wa Benki ya Maendeleo Afrika -AfDB_Group
9. Wakuu wa mikoa
10. Katibu Mkuu Kiongozi na Wastaafu wengine
11. Makatibu Wakuu
12. Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na wastaafu.
Idadi ya watu ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) ni kubwa kiasi kwamba baadhi wamekosa sehemu za kukaa.
FUATILIA MKUTANO HUO HAPA
Comments are closed.