The House of Favourite Newspapers

Marobota ya Nguo Yakwamisha ‘Guta’ Kupinduka Eneo la Machinga Complex

0
Baiskeli ya miguu mitatu ‘Guta’ likiwa limebinuka na kuangukia barabarani katika eneo la Machinga Complec Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliokuwa eneo hilo wakishuhudia tukio hilo.
Gari la daladala likipita eneo la Guta lilipoanguka kutokana na kubeba mzigo mzito uliopelekea kubinuka na kuangukia barabarani.

 

 

Baiskeli la miguu mitatu maarufu kwa jina la ‘Guta’ limepinduka katika eneo la Wafanyabiashara maarufu Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam na kusababisha magari yaliyokuwa yakipita eneo hilo kupita kwa taabu kutokana na mzigo uliokuwa umepakizwa katika guta hilo kuangukia barabarani.

Leave A Reply