The House of Favourite Newspapers

MASALA: Namanga Hali ni Mbaya, Waziri Tusaidie – VIDEO

Mbunge jimbo la Nachingwea Hassan Masala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji amemuomba Waziri Kamwelwe, amsaidie kupata visima katika Mji mdogo wa Namanga kwani hali ni mbaya maeneo hayo na wananchi wanateseka sana.

Comments are closed.