The House of Favourite Newspapers

Mastaa Hawa Ushawishi Wao Bongo Ni Noumaaa!

Wema Sepetu.

 

SIKU zote mafanikio huja popote kutokana na kile ulichokifanya katika jamii.

Kampuni ya utafiti ya Avance Media kutoka nchini Ghana imeingia chimbo na kuibuka na mastaa wa Bongo walioonesha ushawishi mkubwa kwa vijana kwa mwaka 2017.

Avance ambayo inashirikiana na makampuni makubwa duniani kama vile Yahoo, AllAfrica, Goal, Pulse na 360nobs ikiwa na matawi nchini Cameroon, Kenya, Afrika Kusini pamoja na Tanzania, utafiti wao umejikita kwa vijana mastaa wale wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 40.

Jokate.

Vigezo

walivyochukua ni shabiki kupiga kura kupitia mtandao wao maarufu kwa kuzingatia mshiriki awe raia wa Tanzania, miaka 15 hadi 40, awe na uzoefu wa miaka miwili katika sekta yake, awe anatambulika na jamii na pia awe kivutio kikubwa cha vijana.

Miongoni mwa vipengele walivyozingatia kwa mastaa hao ni pamoja na wenye ushawishi katika Biashara, Burudani, Sheria, Uongozi, Shughuli za Kijamii, Maendeleo Binafsi, Habari, Maisha, pamoja na Sayansi na Teknolojia.

Idris Sultan.

Katika makala haya mafupi inawaanika mastaa hao na vipengele vyao;

Biashara

Yusuf Bakhresa (Azam Media Ltd)

Carol Ndosi (Alta Vista Events)

Krantz Mwantepele (KONCEPT)

Patrick Ngowi (Helvetic Solar)

Ian Ferrao (Vodacom Tanzania)

Harun Elias (Javis International Trade Co.)

Hellen Dausen (Nuya’s Essence

Vanessa Mdee (Mwanamuziki)

Burudani

Diamond Platnumz (Mwanamuziki)

AliKiba (Mwanamuziki)

Wema Sepetu (Muigizaji)

Joti (Mchekeshaji)

Vanessa Mdee (Mwanamuziki)

Jokate Mwegelo (Mwanamitindo/Muigizaji)

Riyama Ally (Muigizaji)

Mbwana Samatta


Michezo

Mbwana Samatta

Juma Kaseja

Shomari Kapombe

Hashim Thabit Manka

 

Mrisho Ngasa

Thomas Ulimwengu

Sheria na Uongozi

Peter Kibatala (Mwanasheria)

Fatma Karume (Mwanasheria

 

Salim Kikeke (BBC Swahili)

Idris Sultan (SIO HABARI)

Dina Marios (E-FM Radio)

Babbie Kabae (Clouds 360)

B Dozen (Clouds Media)

Maisha

Jacqueline Mengi (Furniture Designer)

Flaviana Matata (Mwanamitindo)

Benjamin Fernandes (Mtangazaji)

Millen Magese (Mwanamitindo)

Miriam Odemba (Mwanamitindo)

Osse Greca Sinare (Mpigapicha)

Jacqueline Mengi

Ni Miss Tanzania 2000 na mbunifu mkuu wa Molocaho by Amorette, kampuni ya Tanzania inayokuja kwa kasi Afrika Mashariki ikijishughulisha na utengenezaji wa samani bora kwa namna mteja anavyohitaji kuanzia nyuzi, taa, urembaji vyombo na mapambo, samani za nje na kwenye bustani.

Pia ni balozi wa Kampeni ya WildAid.

Faraja Nyalandu

Kama ilivyo kwa Jacqueline Mengi, Faraja

Comments are closed.