The House of Favourite Newspapers

Mastaa Wamlilia Producer, Pancho Latino

Mtayarishaji wa muziki Maarufu, wa B’ Hitz Record, Pancho Latino, maarufu kama Mafia, amefariki dunia jana jioni kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea kwenye kisiwa cha Mbudya jioni ya jana jiijini Dar es Salaam.

Comments are closed.