The House of Favourite Newspapers

Mataifa Makubwa Duniani Kudhibiti Amani Libya

0

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa mataifa yenye uwezo mkubwa duniani yamejitolea kuhakikisha kuwa kuna suluhu ya amani nchini Libya baada ya mkutano nchini Ujerumani.

Viongozi hao wameahidi kutoingilia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo mbali na kuheshimu vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa mataifa.

Mzozo uliopo nchini Libya ni kati ya jenerali Khalifa Hiftar dhidi ya serikali inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa GNA.

Leave A Reply