The House of Favourite Newspapers

Matokeo Darasa la Saba Haya Hapa: Shule 10 Bora Kitaifa, 10 Zilizoshika Mkia

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetaja shule 10 bora kitaifa zilizofanya vizuri katika matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi, huku mikoa iliyopo Kanda ya Ziwa ikitoa shule sita katika orodha hiyo.

Shule hizo ni; Raskazone (Tanga), Nyamuge (Mwanza), Twibhoki (Mara), Kwema Modern na Rocken Hill (Shinyanga), Jkibira, St Achileus Kiwanuka, St Severine na Rweikiza (zote Kagera).

 

Shule iliyoshika nafasi ya kwanza katika shule 10 bora ni Raskazone ya Tanga huku St Anne Marie ya jijini Dar es Salaam ikishika nafasi ya sita.

  

Kutazama matokeo hayo

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 1)

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 2)

Pia unaweza kuyatazama kwa urahisi kupitia Global Publishers App

Android ===> Play Store

iOS ===> 

BREAKING: NECTA yawaanika Hadharani Walimu wezi wa Mitihani!!

Comments are closed.