The House of Favourite Newspapers

Matukio Kuelekea Droo Kubwa Shinda Nyumba ya leo (Video)

0
Watumbuizaji wakifanya yao jukwaani, kuwaburudisha watu waliofurika kwenye droo kubwa ya Shinda Nyumba.

Burudani zikiendelea.

 

 

Wasomaji mbalimbali wakielekezwa namna ya kujaza kuponi na Mr Shinda Nyumba.

Mr Shinda Nyumba akiendelea kutoa maelekezo.

Afisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub akimuelekeza msomaji namna ya kujaza kuponi.

Wasomaji wakielekezwa namna ya kujaza kuponi.

 

Mr. Shinda akimuelekeza msomaji namna ya kujaza kuponi.

Wasomaji wakiendelea kuelekezwa namna ya kujaza kuponi.

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba iliyokuwa ikiendeshwa kwa zaidi ya miezi 6 na Kampuni ya Global Publishers ikiwa ni sehemu ya kurudisha fadhila kwa wasomaji wake, imefikia mwisho ambapo mshindi kutoka Dodoma amepatikana.

Katika droo ya fainali hiyo, ambayo imefanyika kweNye Viwanja vya Las Vegas, Mabibo jijini Dar huku mgeni rasmi akiwa Diwani wa Kata ya Mabibo, Kassim Lema, mshindi aliyejishindia nyumba hiyo iliyopo Bunju B, nje kidogo ya Jiji la Dar, ni George Majaba  mkazi wa Mkoa wa Dodoma.

Leave A Reply