The House of Favourite Newspapers

Maua Sama Kuachia Magoma Kama Yote 2021

0

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amefunguka kuwa kwa sasa anataka kufanya ngoma tofauti bila kupoa kuanzia mwishoni mwa mwaka huu na mwaka unaokuja.

 

Akizungumza na Risasi Vibes, Maua amesema kuwa anajua mashabiki wake wamemisi muziki mzuri kutoka kwake hivyo anawaahidi mwaka ujao utakuwa mwaka wa ngoma baada ya ngoma.

 

 

“Najua watu wangu wamemisi mambo mazuri kutoka kwangu hivyo na mimi sina budi kuwaambia kwamba wasichoke kunifuatilia kwa maana kwamba nimejipanga vilivyo kuhakikisha wanapata kile kitu roho inapenda,” alisema Maua.

STORI: IMELDA MTEMA

Leave A Reply