The House of Favourite Newspapers

Dada Anyongwa na Mpenzi Wake Hotelini, Kaka wa Marehemu, Wafanyakazi Wasimulia – Video

0

MATUKIO ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point, anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini… Global TV imezungumza na ndugu na wafanyakazi wake wa saluni ambao wameelezea mkasa mzima.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

CAMERA ZIMEMNASA ALIYEMNYONGA LEONIA HOTELINI, KAKA WA MAREHEMU AZUNGUMZA, KAACHA MTOTO WA MIAKA 11!

Leave A Reply