The House of Favourite Newspapers

Mbao Wanasaka Fedha Wamsajili Mavugo

Straika wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo.

UONGOZI wa Mbao FC, umesema ukipata tu fedha basi usajili wao wa kwanza ni kumvuta straika wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo.

 

Mwenyekiti wa Mbao, Solly Njashi amesema: “Unajua kwa sasa hatuna mshambuliaji baada ya kuondoka kwa Habib Kyombo aliyetimkia Singida United, lakini tunaamini kama tukipata fedha ndani ya wakati hakika Mavugo atatua Mbao FC kwani tunaamini atakuwa.

Habari na Johnson James, Mwanza

Comments are closed.