The House of Favourite Newspapers

Mbaroni kwa Kumchezea Mtoto Sehemu za Siri – Video

0

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Antony Lugendo (34)mkulima,mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu kwa kumchezea chezea sehemu za siri.

Aidha mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake akiwa amemvua nguo zote huku akimchezea mtoto huyo ambae ni mwananfunzi wa chekechea.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, ACP Wankyo Nyigesa, amesema upelelezi unaendelea ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya mtuhumiwa.

Leave A Reply