The House of Favourite Newspapers

Mbasha Ala za Uso

0

STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha hivi karibuni amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram na kula za uso ‘kushambuliwa kwa maneno.’

Mbasha aliweka picha hiyo akiwa amevaa shati lenye rangi ya bluu bahari lenye urembo mbele ambapo wafuasi wake kwenye mtandao huo walimshambulia na kumwambia amevaa blauzi ya kike, hivyo akavue.

“Sasa hilo shati la kike la kwaya unaenda nalo wapi… uzee unakupeleka vibaya,” aliandika Munalove huku akiungwa mkono na wafuasi wengine.

Leave A Reply