The House of Favourite Newspapers

Mbwana Samatta Afunga Ndoa Dar

Straika wa Genk na Taifa Stars, Mbwana Samatta.

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunga ndoa usiku wa kuamkia (jana) Alhamisi Agosti 10, 2019 huko Mtoni KijichiĀ  jijjni Dar es Salaam na mchumba wake Naima Omary ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.

Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wacheza soka, wasanii na watu wengi mashuhuri wakiwemo ndugu na marafiki.

 

Comments are closed.