The House of Favourite Newspapers

Taarifa Muhimu Kwa Wana CCM Kuhusu Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Na Vijiji 2019

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wanachama wa CCM kuwa mchakato wa kupata wana CCM watakao simama katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaoendelea ndani ya chama.

Comments are closed.