The House of Favourite Newspapers

MCHENGERWA: Waziri Mkuu Atueleze, Migogoro ya Kisiasa Inasababishwa na Nini?

Kikao cha Sita cha Mkutano wa 11 Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyika jana Aprili 10, Mjini Dodoma, ambapo wabunge mbalimbali walipata fursa ya kuchangia mijadala mbalimbali huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha hotuba yake.

 

Wakati akichangia hoja yake, Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, alimtaka Waziri Mkuu kwamba wakati atakapokuwa akihitimisha hotuba yake, aleleze migogoro ya vyama vya siasa inayoendelea nchini inasababishwa na nini?

 

Aidha, Mchengerwa aliitaka Serikali kuweka mfumo madhubuti wa elimu ya siasa kwa wanafunzi ili kufundisha elimu hiyo na kutoa mazao ya wanasiasa walio bora kwa Taifa.

VIDEO: MSIKIE AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.