The House of Favourite Newspapers

Mdogo wa Mpigapicha Mkuu wa Global Kuzikwa Leo Mburahati, Dar

Jeneza lenye mwili wa marehemu Mary Bukos.

MWILI Mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Richard Bukos, Mary Bukos unatarajiwa kuzikwa leo Desemba 30, 2017 katika Makaburi ya Mianzini Mburahati jijini Dar es Salaam.

Mary enzi za uhai wake.

Mary alifariki juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuugua ghafla.

Waombolezaji wakiwa msibani.

Wafanyakazi wa Global, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na waombolezaji wengine wa maeneo ya Mburahati wamejumuika katika kuuaga mwili wa marehemu.

 

 

Mpigapicha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kulia) ambaye ni kaka wa Marehemu Mary, akipewa faraja kutoka kwa waombolezaji.

NA DENIS MTIMA | GPL

Comments are closed.