The House of Favourite Newspapers

Meli ya Mfalme wa Oman Imeondoka Kuelekea Zanzibar Tanzania

0

Meli ya Mfalme wa Oman, Sultan Qabous imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es Salaam Tanzania na Mombasa Kenya.
Inategemewa kufika Zanzibar Tarehe 13 Oktoba 2017 au 14 Oktoba 2017. Ikiwa na mawaziri na wasaidi wake

Mfalme wa Oman, Sultan Qabous (wa kwanza mbele kushoto) akisalimiana na waziri wake.
Muonekano wa meli ya Mfalme wa Oman, Sultan Qabous.

Leave A Reply