The House of Favourite Newspapers

Memba wa LOS ANGELES, Marekani Destiny’s Child kuolewa kesho!

    Le Toya akiwa na mpenzi wake.

MEMBA aliyekuwa akiunda kundi la Destiny’s Child, Le Toya anatarajia kufunga ndoa kesho (Jumamosi) na mpenzi wake wa muda mrefu, Tommicus Walker.

 

Le Toya aliyekuwa akiunda kundi hilo sambamba na Beyonce na Kelly Rowland amevujisha vipande vya video na picha wakiwa katika mavazi ya harusi.

 

Taarifa nyingine zinaelezwa kuwa, picha hizo zitatumika katika Jarida la Essence ambalo limeshawatakia ndoa njema.

Comments are closed.